>Katika maisha huwa tunakutana na mambo mengi ambayo kiukweli sio yote yatatupa furaha,,hii ni kutokana na tofauti zetu sisi wanadamu...
°Kama umeudhika na jambo fulan cyo chanzo cha kununa na kukosa raha chukulia poa na anza kutafuta suluhu ya tatizo hilo ili uc ufhike tena....
°Ishi maisha ya furaha Share love na watu wote utafanikiwa sana
NB:usizarau mawazo ya mwenzako hata kama anaongea ujinga 'tumia ujinga wake kujielimisha'
Imeandaliwa na kuletwa kwako na INNOCENT PRISCUS mobile 0767788444_
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni